Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,960
- 136,790
Ndiyo maana mkija Kijijini likizo kunisalimia lazima niwape jembe msaidie kulima, manake sio Kwa ulaji huo![]()

sikomi mie,ata kama ukinikabidhi ng'ombe nikaswage kisa napenda maziwa. poa tu
Ndiyo maana mkija Kijijini likizo kunisalimia lazima niwape jembe msaidie kulima, manake sio Kwa ulaji huo![]()

sikomi mie,ata kama ukinikabidhi ng'ombe nikaswage kisa napenda maziwa. poa tu
Chakula gani hiko Lizzy by the way hio tbt ya mwaka gani?Poker karibu....View attachment 2314350
Unautamani ukubwa,wala usijali utaukuta tu,Nani mdogo wako embu niamkie huko
Memories indeed 😍😘❤️💕#onthisday2018 #facebookmemoriesView attachment 2305777
Lips denda! 😍😘❤️🤣
Umefanana na dada mmoja anaitwa Monique Seka! Your still young aiseeh!Hiyo ni shawarma 😋
2011 🙈
Mwenye shati jeupe msalimie, muambie kuna kidampa anampa hi.

Vocha hizi bhana kuna watu zinawatoa imani,,
Ee Mungu nisaidie.

wee huna shida hizo cc.Ana macho mazuri 🤓Umefanana na dada mmoja anaitwa Monique Seka! Your still young aiseeh!
Zimefika 😁😁Mwenye shati jeupe msalimie, muambie kuna kidampa anampa hi.
![]()
Mzuri huyo mkaka jomoneee. Uwiiiih.Zimefika![]()
Kuna sehemu nimekuita,wee huna shida hizo cc.