Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi we Atoto sasa wewe unavyoona na mimi nina picha za kusema kwamba eti mtu asubirie nitume au abembeleze nitume?? Humu zinatakikana picha za watu kama ninyi ambao mnajiremba mnapendeza wengine tunatuma tu ili kukamilisha lengo la uzi!!

sijui umenielewa..najua umenielewa haya tumeni picha basi jamani..
Wacha maneno, tuma picha.
 
Acha maneno mengi tuma picha. Mie na kujiremba wapi na wapi
 
Back
Top Bottom