🙌😂Niko njiani ntaingia kunako duka saa 3...awe mvumilivu, sisi wa vijijini maduka yako mbalimbali
WakujeeeKaka myoyambendi alisema alienda shamba akirudi atanipa. Watoke huko waje kuchangamsha uzi huku naona sie maneno mengi tubafelii sana uzi hauchangamki
Kweli kaka fanya makeke kakangu hali teteee!! Hadi nimemkumbuka kaka vocha wetu!!myoyambendi si umeombwa vocha na Surbi mfanyie wepesi aselfike basi!
Watu wapo busy na video za boss lady unyoya!Kweli kaka fanya makeke kakangu hali teteee!! Hadi nimemkumbuka kaka vocha wetu!!
AiseeWatu wapo busy na video za boss lady unyoya!
Mie nataka vocha tu hao wa id wapambane na hali zao!! Ukiona mtu anabadili Id jua kuna jambo limemkuta!! Kitu kizito kinahuu!!Wakujeee
Na wenye id mia mia nao waamshe zote 😂🤣
Halafu kawaje huyo mwanamke!! ?? Kuna mahala nimeona wanataja mange mara uwoya Sijaelewa kunani hukoo??Watu wapo busy na video za boss lady unyoya!
Tajir boss mwenye kumiliki airport yake
Uwoya ana kitambi mitattoo ile kitu cheusi video sijaiona embu nitumieniWatu wapo busy na video za boss lady unyoya!


Eeh 😃😃Tajir boss mwenye kumiliki airport yake
Sijammiss hata 😂😂😂
MselelekoTumeni vocha nyie wanawake acheni ubahili wanaume tumebak wachache shauri yenu
Nitajibanza mahala ndio asinione nikimrushia jiwe, asije kunidunda bure.🤣Sijammiss hata 😂😂😂
Me nataka tu umbonde ukimuona
Make sure hauko zero brain ndio ukiwa na Id mingi uwe smart tusikujue 😁Af nataka kufungua anaza id. Vigezo gan na masharti vyahitajika ili niviandae?😂😂
Asizuge
🤣🤣 jibanze ee ili umbonde la uchogoNitajibanza mahala ndio asinione nikimrushia jiwe, asije kunidunda bure.🤣
🤣🤣🤣Asizuge