sitakiiiii, kuna member alikuja PM, ananambiaje "wee shetani JF nzima hatukutaki, ila unatamba tu, tupe siri ya jeuri na kiburi chako,"
Nkamjibu "akinipenda mwenye JF yake inatosha, wala sio shida zangu"
Tangu siku hiyo, kila nikikutana kwa comments jukwaani, ananipobukia hatareee,