Selfika na JF: Snap it. Show it

Zuchu

Umekuja
 

Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
🎺🎼🎵
 
Kumekuchaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!

Selfika hoyeeeeeeeee!!!!!!! Mr vocha leo kawa msaniii.
 
Hahaha....We jamaa bhana
 
Zuchu ana maneno.

"Mbna badoo, na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka, we shaukwa baby tambaaaa"


Nachekaga hapo tyuuh.
 
Dadeq

Haya mashairi alinipa mtu
King Kiba.



.....
Unanipa raha
Mpenzi wangu nahisi raha
Raha raha
Najihisi mwenye furaha

I see it beibee
Love on your face
When you kiss me I feel so sweety

I do I do I do I do I do
I do baby


Dayna Nyange

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…