Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Asante mkuu!Ukivumilia majibu ni haraka sana japo utafifia kidooogo kurudi kwenye ngozi ya kawaida.
Mungu akuponye haraka
Asante mkuu!Ukivumilia majibu ni haraka sana japo utafifia kidooogo kurudi kwenye ngozi ya kawaida.
Mungu akuponye haraka
Kakalakeee🤩🤩🤩🤩!
Hilo jicho Anko...andjul Yani mie sinaga mapele kabisa nashangaa sijui vinatoka wapi!!




hahahahahah!!! Mbavuuuuu zangu shosss!!shougaaaaaah usinitafute maneno, tafadhari!!!
Ndo umenichoka kiasi hiki??? Hebu huko mie namtaka HB wangu.
Msafi, smart, braniac, aririiiiiiiiii, nileteee puliiiiz.
Huyu mlinzi baki nae wee, mpe na bunduki hiyo alinde vyedi.
Shougaaaaah nimechekaaaa, hivi kwan makamanda na viongozi wa ulinzi na usalama wa shule wanakuaga wabayaa, afu sura gudu, woiiiiiiih.
Sitakiiiii, nileteee HB wangu.





!!Hilo jicho Anko...
Nadhani inatokana na kubadilisha badilisha mafuta. Uzoefu nimeupata kwa shangazi yako...
Nimesha muambia akirudia kubadilisha badilisha mafuta namrudisha Usukumani akapake samli![]()






!! 



Anastahili sifaaa.
AssssaaaaaaanteeeehhhhNgoja mgodi uteme dadaake nitupie full full![]()

!
!!Nakuombea!!
Usiwaze Hatobadili tena ankoo saivi ngozi yake imekua softiiiiii hadi raha nahuo weupe Aririiiiiii!
Amenougaaa hatariiii!! Nitakupa mrejesho Ankoli![]()


Kabisa shoss!!!!Anastahili sifaaa.
Niletee HB wangu mie hapa.hahahahahah!!! Mbavuuuuu zangu shosss!!
Akuh mie nna ulinzi wangu salama salmini kabisa na Bastola juuu!!!!





Amen amen!!Nakuombea![]()
Hahahahaaaa!!! Ana hatari sana huyoo huo mtereremko anaopenda huoo!!Unapenda kulelewa wee kijana, chunga sana utaishia pabaya.
![]()
Hahahahaaaa!!! Ana hatari sana huyoo huo mtereremko anaopenda huoo!!






, uwiiiiih