Selfika na JF: Snap it. Show it

Grahams
Babu mzuri
Babu wa mchongo kwa Wigelekelo

Babu kipenzi wa Lenie

Babu you’re missed 😘😘
And Bibi as well

Greetings to all of you ✌️
You are real missed too wajukuu zangu 😘😘

Isingekuwa kubanwa na shughuli zangu za shamba ningekuja Mjini huko niwasalimie Babu yenu πŸ€ͺ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wajukuu wake ni vyombo and threat at once


Majanga which and since yesterday I got delivery tick!!
Nimewaambia hao wanaotaka kuwachumbia, kuwa Mahari na Posa zimepanda. Kwahiyo wajipange πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Habari za siku tele Mjukuu mzuri, have real missed you 😘

Mimi na Bibi yenu tumewakumbuka sana πŸ™ˆ
Babu kipenzi bora umekuja maana nilikua nakumiss adi naumwa na simu yako haipatikani sijui ulisahau kucharge.

Me niko poa kabisa babu, nawamiss pia.
 
Marahaba Mjukuu

Babu yako macho yamepungua uwezo wa kuona, sitaweza kusoma talakimu zote 10+ za vocha, hivyo nafikiria kumpa Dada yako yule wa Masaki akuletee cash ukanunue mwenyewe πŸ€ͺπŸ™ŠπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Mpe mjukuu wako akusomee bana acha siasa babuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…