Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,196
Eehhh mama pastaa jana madogo wamekuja kukusalimia wananiuliza mamdo simu yako ina snap??? mie natoa macho tu snap ndio kidudu ganii hahaha wakaniambia weeee mamdo ushazeeka tunabadilishana simu uchukue hiki ki tekco batan utupe hiooo ...yani hujui hata snap huna snap uwiiiiii mamdo ushakua wa kijijiniiii!!!Nimecheka. Kuna snap unatoka kama mdoli sijui
Wakadownload snap basi Simu naletewa ikiita tu nyieeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!


