Nipige busu.Yaani wewe,
Sijui nikuibukie na kipigo🤔
Chagua,nikupige wapi?
Chini ya kitovuYaani wewe,
Sijui nikuibukie na kipigo[emoji848]
Chagua,nikupige wapi?
Acha tu mamiiii!! Shida hiziiiii!!🤔🤔🤔Wacha😍
Naona Bwana Mungu yupo upande wako
Ila mkuu we ni mzungu aisee
Nambiee shougaaaa angu kakosea nn?? Tumnunie wotee,Weee mie leo mr vocha simsemeshiiiii !! Nikinuna nimenunaaa[emoji18][emoji18][emoji18]sichekiiii!!
Wakutengajeeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka wahuni wanitenge eti[emoji23][emoji23]
Hahah!Nipige busu.
Nakwambia shosss angu wewe teinaaaaa sema jingine 😘😘😘😘 ila uzuri mwenyewe tayari anajuaaa!!!! !Nambiee shougaaaa angu kakosea nn?? Tumnunie wotee,
Tena tusichezee naee. Nambieee shouzzzzzzz kakosea nn Mr vocha, na mie nimnunie.
Chini ya kitovu?Chini ya kitovu
Itapendeza zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa foleniiii, unapangwa ki nambaa tena ventric uwiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Aaarrh hayo mambo ya list Mie hapana kabisaaa!! Acha nipambane natabu zangu hukuuu tu ila sio foleni ya rejareja mie Masikini jeuriii[emoji1787][emoji1787][emoji18][emoji2960][emoji2960][emoji6][emoji12]!!!!
Mambo yako ni bomba.Acha tu mamiiii!! Shida hiziiiii!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ndo uniambie harakaaa, maana mie kuwadi, msutaji, mfundaji, mkungaji, cna mbambamba, nimenyookaa km rulaaaa.Nakwambia shosss angu wewe teinaaaaa sema jingine [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ila uzuri mwenyewe tayari anajuaaa!!!! !
Ngumi tena 🏃🏃🏃Hahah!
Namaanisha kukupiga ngumi
Watakupasua wewe[emoji23][emoji23],,, unajua nn kuhusu wahuni wakat unapenda majentomaniWakutengajeeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni au vijana wa hovyooo???
Bondia kutoka nyanda za juu kusini..Ngumi tena 🏃🏃🏃
We wa Mara nini?