Kweli kabisa.
Kuna mama alimleta mwanae shuleni(anamsumbua sana) akamkabidhi kwangu nimsaidie kumnyoosha. Sasa alikuja na mdogo wake, mdogo wake akamuuliza "hivi huyu mwalimu mpole hivi ndio unamkabidhi huyu chautundu atamuweza kweli?" Walimu wengine kusikia hivyo acha wacheke