ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,408
- 118,880
Wewe ni heavy user, 2k unapata gb ngapi?2k week unamaliza?? Mie nikiunga hakimalizi masaa 48 nikiwa home, ofisini hakimalizi masaa 12
Wewe ni heavy user, 2k unapata gb ngapi?2k week unamaliza?? Mie nikiunga hakimalizi masaa 48 nikiwa home, ofisini hakimalizi masaa 12
1gb tuWewe ni heavy user, 2k unapata gb ngapi?
Hi sweetie



Hata mimi 1gb kwa week haitoshi, sema tunajinyima tu kama tunavyojinyima kula nyama na kunywa pombe🤣1gb tu
Mie najilipua 20kHata mimi 1gb kwa week haitoshi, sema tunajinyima tu kama tunavyojinyima kula nyama na kunywa pombe🤣
BTW sijaona dimples mda sana!
12gb namaliza mwezi bila shida, itakuwa wewe ni mtumiaji mkubwa wa bando.Mie najilipua 20k
Gb 12
And still simalizi weeek 4, week ya mwisho na struggle na hizo 1gb siku 3 simalizi..
Juzi kati nikaunga 4k jimixie wakanipa 3gb usiku hiyo, mchana ofisini zikakata 😀 sema hapa asubuhi nilikuwa nna kazi iliyofanya nijiwashie WiFi kwa PC
Sasa nabaki kujiuliza ni mimi au voda wananihujumu?
Safi sana, na vingine vizuri nimeona..🤣Have this kiporo ERoni View attachment 2301967
Mbona situmii sana ? Labda PC inakula sana mb12gb namaliza mwezi bila shida, itakuwa wewe ni mtumiaji mkubwa wa bando.
Fumba machoSafi sana, na vingine vizuri nimeona..🤣
Likewise girlieNice day fam 💋💋
Mbona situmii sana ? Labda PC inakula sana mb
Istagram siingii kila siku, ni email, wasap na jf.. telegram naenda tu kuchungulia kama kuna movie itanivutia, tik tok mpk niwe bored sana ndio naingia.
Both Team To ScoreMie najilipua 20k
Gb 12
And still simalizi weeek 4, week ya mwisho na struggle na hizo 1gb siku 3 simalizi..
Juzi kati nikaunga 4k jimixie wakanipa 3gb usiku hiyo, mchana ofisini zikakatasema hapa asubuhi nilikuwa nna kazi iliyofanya nijiwashie WiFi kwa PC
Sasa nabaki kujiuliza ni mimi au voda wananihujumu?
😂😂😂😂 haya weka picha
Una-disable automatic updates kwenye pc/laptop, otherwise 2gb ni nusu saa tu zimekata.Updates hizo za Pc
Huwa zinakera
Siku hizi umekua ,,huna yale mambo "tuma na ya kutolea upate picha " ndiyo maana ukaumbwa mrembo





🫣natoa fursa ya kunichunaHappy Sunday everyoneView attachment 2301916View attachment 2301917
