Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Thank you wige .Ni njema sana
Nafurahi kukuona
Likewise
Thank you wige .Ni njema sana
Nafurahi kukuona
Duvet hazinaga joto sana kama blanketNyie sio kwa hili baridi khaaah, Duvet nimejifunika ila nahis ka ubaridi woiiiii, mito yangu naikumbatia ila bado joto halitoshi woiiiiiiih.
Noumaaaaaah
Anko umeamkaje?Duvet hazinaga joto sana kama blanket
Nilishtuka eeh
Na vodaGood morning selfika family
Mselfike na #airtel#
*104*15636723639419#
😁😁😁 emu anza na kuniamshaAnko umeamkaje?
Leo nimewahi hapa maana baraka zako za jana zilinipita vibaya, nikaambulia mapambio ya kusifu tu
Morning MrGood morning selfika family
Mselfike na #airtel#
*104*15636723639419#
Morning madamMorning Mr
Habari za asubuhiNa voda
Shikamoo mkuuHabari za asubuhi
emu anza na kuniamsha


Anko Kuna vitu unataka kuninyima wewe hizi shikamoo asubuhi asubuhi hapana😅Shikamoo mkuu
Namshukuru Mungu vipi weweMorning madam
Uko poa?
😀😀 we itikia hebuKuna vitu unataka kuninyima wewe hizi shikamoo asubuhi asubuhi hapana😅