Eti huwezi amini ndo huyu atoto
Oyaa mabaharia amkeni yule bibie anatuita mafurushi kapost picha njooni kabla hajaifuta
Lol[emoji24][emoji24]sikujua.
Sasa Wewe mbona ulikuwa mzembe Sana[emoji134]
Ni wivu tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vice versa is true.
Una matatizo wewe, tena nilikuquote wewe ili uone[emoji134][emoji134][emoji134]Daah umeifuta tena jamani??
Furushi wewe unaielewa pombe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...mzee baba, kwani anaposema "mafurushi" huwa inakukata sana?
Yupi huyo embu nipo info siunajua sisi wengine tumejiunga juzijuzi tu sio wakongwe kama nyieFurushi mwenzio kaikimbia jf?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah...you just being you...
Mlikuwa wageni wote na ndio watu hilo neno lilikuwa linawasumbua sana.Yupi huyo embu nipo info siunajua sisi wengine tumejiunga juzijuzi tu sio wakongwe kama nyie
Yeah nishawahi sikia habari zake...
Hata hivyo mi si mpenzi wa treni za low speed, pamoja na kuwa napenda sana adventures...
Napenda zile bullet trains, zipo sana China na Japan..
Mfano safari ya Dar kwenda Mbeya inatembea in less than 3hrs...
Hizo mbona hata huku kwetu ileje zipo.
Wapi tena??
Haha hamna kuu tena napenda sana niitwe hivyoHahaha...mzee baba, kwani anaposema "mafurushi" huwa inakukata sana?
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa ileje.
Ooh yeah, ona mwandiko wa Karma Heaven Sent Saint anne
Vile wakiandika kwa ukarimu utafikiri umefika mbinguni kwa baba, sasa unaoneshwa wapi chumba utakuwa unaishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeanza wanga
Sasa mkuu naona unataka kunifyetua tu aise kiswanswadu ndo nakipenda hicho balaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha wee[emoji7][emoji7].Madame haiba.