Mnooooooooh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo shousssssssss [emoji3531][emoji3531][emoji8]Namba Yangu mbona ipo hewani shoss wewe mtu wapili kunambia ivo ukute madogo walichezea simu wakabinyeza visivyobonyezwa shosss ngoja nikucheki wtsup!!!
Weeeh Yoga keshatupia madude kule lol!?Asante shos ngoja niende fastaaaa [emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]!!
Yani mapicha hapa ni fuuuuuuurrruuuuuuuuuuuuuuuuuuu[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8]
Tena nataka kutotoa kengine asee nimemiss katoto kadogo mie mrashia arudi fasta kwakweliπ₯±π₯±π₯±ππππ!!
Kama hapa nitakutumia nusu mtu choice ni yako?Jamani si utume hapa lakini mkuu mbona ivo!!πππ!!
Akili zako unazijua mwenyewee.Umpe tu
Ile kitu roho inataka
Yaan wee acha tyuuh.Ingekuwa upande ule
Mabango
Maandamano
Hadi ingekuwa kero
Usifanye hivo jamaniiiii!!! Nataka full mie nusu mtu Hapana!!Kama hapa nitakutumia nusu mtu choice ni yako?
Mdogo wake nipo hapa jiandae nije nikutotoeTena nataka kutotoa kengine asee nimemiss katoto kadogo mie mrashia arudi fasta kwakweliπ₯±π₯±π₯±[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!!
Sijaelewa kitu πUnanijua mimi nani[emoji1787][emoji2089]
Kijitonyama nyama imehamia hapo kama yote
Next weekend nitakuwa huko
Nilikuwekea ila nikashindwa kuvumila nishaila mie
Hahahaaa!!
Hiko kimdomo na kimkono πππππ nimekuchora didi Lenie View attachment 2299741
Wapi hiyo jirani...
Nilidandia lift niende nikaleWapi hiyo jirani...
Weeeehhhhhh hio ntakatwa shingo nife taratibu huku najiona achilia risasi ya kunimaliaza on the spot!!!!
Subiri KwanzaHahahaaa!!
Tupieni za mchana basii Punguzeni story mchat na picha
πππ chora hapo weweHiko kimdomo na kimkono πππ
Didi ake naona umenichoka eeh
Kwahyo umeila ice cream yangu[emoji24][emoji24]Nilikuwekea ila nikashindwa kuvumila nishaila mie
Leo kuna jua basi inanoga
Wasap image ya 12 may 22