Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Nipo shousssssssss ♥️♥️😘Namba Yangu mbona ipo hewani shoss wewe mtu wapili kunambia ivo ukute madogo walichezea simu wakabinyeza visivyobonyezwa shosss ngoja nikucheki wtsup!!!Yaan mda otee nakuitaaa shougaaa akee hutokei, afu na no ako umeifanyaje wee? Mbna inachanganya sanaa???
Shougaaaaa kabla ya yote nenda kwenye uzi wa yoga afu ukitoka kulee njoop utetemeshe uzi.
Kule kuna bonge la kituu, nenda kasomeee kwan, maana nimekuita kulee hadi nimchokaaa.
Mixxoh u swizzyy![]()
Weeeh Yoga keshatupia madude kule lol!?Asante shos ngoja niende fastaaaa 🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️!!
Yani mapicha hapa ni fuuuuuuurrruuuuuuuuuuuuuuuuuuu🤸🤸🤸😘😘






