Selfika na JF: Snap it. Show it

hivi ngoja niulizee, field ni lazima au hiyari??
Inategemea na vyuo na kada husika
Kwa kada za ualimu, udaktari , nursing , engineering na pharmacy field ni muhimu sana .. inabidi ufanye practical uone kazi inavyoenda .

Ila kwa vyuo vingine hawafuatili kabisa
Unaweza usiende ukajizazia tu mwenyewe
Uandike report ya uongo

Ila vingine wapo strictly mno mfano Mzumbe field ni miezi minne hadi unawazoea wafanyakazi huko
Ukikosa utaekewa dash maana supervisor lazima apite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…