Hizi style mbili hizi. .. Nadhani ndio kongwe zaidi duniani... Yaani huwa nawaza tu....
Nyoka ndio alifundisha bibi yetu Eva? Ama je, Bibi yetu Eva alifanya ugunduzi binafsi? Na je kwa babu yetu Adam walitumia ipi? Mshazari ama wima? Doggy n mende!
Hahah, una vituko sana wewe. Mimi sina kubwa yake, niko na "ladies' finger" yangu hapa sina wasiwasi.
Niko poa kabisa, huonekani mitaa ya jf kabisa...itakuwa umefichwa.