Hizi style mbili hizi. .. Nadhani ndio kongwe zaidi duniani... Yaani huwa nawaza tu....
Nyoka ndio alifundisha bibi yetu Eva? Ama je, Bibi yetu Eva alifanya ugunduzi binafsi? Na je kwa babu yetu Adam walitumia ipi? Mshazari ama wima? Doggy n mende!
Ooh vizuri miaka hiyo hamjapata stress za kukaa nje .
Third year ndo nilijuta aisee nilikaa mbali mno Vikenge huko panaitwa .. sema niliwapata wenzangu nilipiga video nikawaonyesha room ilivyo bomba , halafu bei rahisi 300K tu . Tukawa classmates 6 hivi pale .

Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyo