Si upo na Uzi kule jukwaa la c/b,,,sasa bizo habari mpya uwage unajazia kule kwenye zile nyuzi[emoji23]Nambie dyadyaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ngoja nijaribuuu hapa.Yeah sio kwa mambo anayoweka
Jaribu tuone kama itafunguka
Tabia ya pacha wa wale hio!!Tabia mpya hiyo naiona
Ni watu wa matukio
Na lazima wakuachie chatta yao (mtoto)
Usku mwema maana hauhitaj yakwako tyuWeka hapa hapa bhana.
Wee bas usijar, yaan ndo nahangaika kuingia kwenye APP ili nikauzoe vizuri huu umbeaa, nimwage codes tyuuh.Si upo na Uzi kule jukwaa la c/b,,,sasa bizo habari mpya uwage unajazia kule kwenye zile nyuzi[emoji23]
Wengine insta hatuna zaidi ya jf tu[emoji1545]
Wee muongo lol.Usku mwema maana hauhitaj yakwako tyu
Hatuwawez wapi nyie,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usemage tyuuh huwawezi, viwango huna,
Dent wa COET mchezooo, tunawezana wenyewee, mtuacheeee.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe
sio fishhh dimpoz unazoooo na kidot cha juu
Duh sio poaTabia ya pacha wa wale hio!!
Itapendeza sana,uzi utakuwa unadumu[emoji8]Wee bas usijar, yaan ndo nahangaika kuingia kwenye APP ili nikauzoe vizuri huu umbeaa, nimwage codes tyuuh.
Miaka 21 hongera sana😀Miaka 20na...... Siku kama ya/tarehe leo mida kama hii nilikuwa natimiza masaa matano Duniani[emoji1545]
Ongeza ongeza[emoji23][emoji23]Miaka 21 hongera sana[emoji3]
HbdayMiaka 20na...... Siku kama ya/tarehe leo mida kama hii nilikuwa natimiza masaa matano Duniani[emoji1545]
Ndio vinini hivi?? Tangu mchana naona ona tu COET NIT TIA CBE SUA UDOM MU UDSM MUHAS Kwani mavitu gani haya ! Nielewesheni namie!Hatuwawez wapi nyie,,
wadada wa coet maharage mabichi, maji robo kikombe unachemsha hata na mshumaa na yanaiva[emoji23]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Thanks sister[emoji3059]Hbday
Kwenda huko, mnavyoogopa sasa hata kuwasimamishaa.Hatuwawez wapi nyie,,
wadada wa coet maharage mabichi, maji robo kikombe unachemsha hata na mshumaa na yanaiva[emoji23]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Itapendeza sana,uzi utakuwa unadumu[emoji8]