Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁😁 watu wa JF walivyojaa stress, wangekuchambua mpk kona ambayo hukupaka mafuta 🤣

Pole ..
 
Hahahaa kumetokea nini kwani huko mtaa wa 7😂

Siku si ukosee utume muamala🤣🤣
Alijipost uzi gani huko habari na hoja mchanganyiko,, kama mm mchana ile picha kuna mtu wa branch alinambia msalimia sis flani,, sasa mm ndio nikamzoom nikampiga picha nimtumie,, ndio ikatokea picha ikaja kwako 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…