Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,253
- 183,155
😂😂😂😂🤣🤣Boss lady mbona robo tatu ya sura ipo hapo[emoji2][emoji2]
Halafu, wewe unanifahamu kabisa, hata nikikuwekea pua pekee, inakutosha[emoji2][emoji2]
Umesahau we ndo ulinichomesha kuweka naked, kumbe watu hawajalala.[emoji2]
Sikuhizi naked kwasanaaa tu best hata Usiwaze!!😂😂🤣🤣🤣🤣