Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Aloo mimi na picha ni mtihani, jana tu shemeji yenu ameleta keki nikakata ofisini ila sina picha hata moja
Halafu wewe Tinsley sijaona uweke picha siku nyingi, hebu anza wewe
Ilikuwa siku ya kuzaliwa eeh ?
Kama hivyo Happy belated birthday kwako
Tatizo hushindi humu .. nimeweka picha sana

