Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzio niko kwenye jukwaa la soka, wee si hupendi mambo ya kabumbu, mie shabiki kindaki ndaki, sasa napiga watu spana huko
Utopolooo nawavuruga kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unanitag nije kucheka mie! Mie sijui hata napenda nini walaiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kufyatua unajua sasa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Sijawahi hata kuishika kwanza nimeificha Junia asiione yupo kwenye stegi ya kuiga kila akionacho sitaki murder kesi mimi!!
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sijawahi hata kuishika kwanza nimeificha Junia asiione yupo kwenye stegi ya kuiga kila akionacho sitaki murder kesi mimi!!
Yaan fanya asiione kabisaaaa, wee hatareew hiyoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…