Hahahaha mkuu mimi siyo mayai mayai bana na siyo kwamba ndiyo itakuwa mara yangu ya kwanza kabisa maana nilishapitia jakata kwahiyo nina kamsasa kidogo
Mademu wengi wa Jf ni walevi tupu... kuna jamaa mmoja nilikutana nae was Jf yule jamaa alipeleka mahali anapiga vyupa balaa kulewa halewi, nikalipa bili kimya kimya nikasepa.. sas naanza kuingia wasiwasi na mademu wa Jf
wapi wewe sasa ndiyo kama hivyo ulienda ukaishia kuwa unamwagilia matikiti tu hivi ulienda hata route march na syndicate wewe?? Na ulivyo mvivu kutembea!!