Hahaha ila mock huwa zinazingua kweli, matokeo huja kitofauti .Nilijaribu Mara moja kwenye mock nilitoboa na miguu kwenye maji matokeo yaliyotoka sikurudia tena huo ujinga bora ningelala tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mimi yananichosha😁Yaani nayapenda haya
Siku niyaendee sokoni haya
Ujue kweli linaendanaUlipo wew mjomba hakuna kinachoharibika🤣🤣🤣
Saint Anne naomba na mm nione taswira 🤣🤣🤣
Hata mimi nimelinganisha😂Lina maana kubwa sana
Ili tunda
Yaani kama hapo
Taswira yote ipo wazi
Watu wabaya sana nyie 😂
Ooh tunda muhimu sana hiliMimi yananichosha[emoji16]
Nimekula kwa sababu naona nimeanza kuugua fizi Kwa kukosa vitamin C
Sasa ww si English medium huwa hamjichoshi sisi huku kayumba street ndyo balaaHahaha ila mock huwa zinazingua kweli, matokeo huja kitofauti .
Mimi nilikuwa sijichoshi yaani siku ya pepa ndo nalala kawaida na sishtuki usiku [emoji28][emoji28] .
Mweh nimesoma serikali mie kwa hiyo naelewaSasa ww si English medium huwa hamjichoshi sisi huku kayumba street ndyo balaa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Umuhimu wake nn doktaOoh tunda muhimu sana hili
Jitahidi kazana .. matunda ni dawa .
Mambo ya kawaida hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitaota Leo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wanakwambia msingi mtoto asome medium sec hata ukimpeleka serikal ni Sawa ndyo kilichonikuta mm hko primary st kayumba sec private niliona wananichanganyia files tuMweh nimesoma serikali mie kwa hiyo naelewa
Hiyo medium ilikuwa primary huko .
Kwangu hayo ni mazito ni magen kwangu nifundishe basMambo ya kawaida hayo
Tatizo huwa najitahidi nikishaugua fizi[emoji23]Ooh tunda muhimu sana hili
Jitahidi kazana .. matunda ni dawa .
Unataka kufundishwa nin?!Kwangu hayo ni mazito ni magen kwangu nifundishe bas
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Haya geuka mamy