Hahahaha mama kwani wewe haukuwakuta wale wa kujitolea wa miezi sita??
Hata hivyo mie hayo mazoezi ya jakata hayanishitui ninayoyawazia ni yale ya TMA Monduli yale ya kuwa officer aisee nasikia ukifika pale haki za binadamu zinaishia getini!!
Ndiyo yaani air hostess hana tofauti sana na rubani na ndiyo maana mara nyingi huwa wana hook up wanadate wao kwa wao sasa mtu muda wote unazunguka na midege huo muda wa kuwa na familia unaupata wapi??

nyoo halafu unanicheka mimi niliyeenda kwenye kambi ya wangojwa wakati mwenzio kwenye graduation nilikuwa kwenye kwata aise tulipractice karibu mwezi mzima na yale madude ilifika kipindi tukawa tunaweka vitambaa kwenye mabega maana mifupa ya mabega ilianza kuuma