Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Serious yani huyo Nandy na nenga nawajulia wap Zaid ya kuwaona kwa show na kideo nilikuwa op tu ili kuchangamsha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh
Ni yeye,Huyu
Bibi harusi sio yule wa kwenye HUBA[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu anaenda hapo leo, watanimwagia ubuyu wotee, japo ntaangalia pia kwa TV.
kusema ukweli Nandy kapendeza jamani😍😍😍😍😍Aweeee piga kelele kwa mpare wake na nenga wake [emoji818][emoji818][emoji818] Leo full kwichikwichi View attachment 2292911
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajimizisha data wee, na unaweza kwa kweli lol.Huyu
Bibi harusi sio yule wa kwenye HUBA[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya haya wakupe ubuyu uje utumwagie ukiwa wa moto moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu anaenda hapo leo, watanimwagia ubuyu wotee, japo ntaangalia pia kwa TV.
Salama kabisa jirani..Niko good jirani, habari ya wewe
Sawa bana hayo mambo mie mgeni,,,Serious yani huyo Nandy na nenga nawajulia wap Zaid ya kuwaona kwa show na kideo nilikuwa op tu ili kuchangamsha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mwanamke umeishi nae, ume mtia na mimba, huyo kupeleka church ni sawa na kuoa mke wako tu.. ndoa au mke ni Kwa ambao hawajavuka mipaka yote 😄😄😄😄 ila ndio ivyo tunaishi faster sana
Siunajua portable kupendezea ni kawaida Yao angekuwa shilole pale duhhkuwema ukweli Nandy kapendeza jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi, hawa watu wamejua kuwaziba mdomo waja. Ndoa yao idumuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya haya wakupe ubuyu uje utumwagie ukiwa wa moto moto
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Roy ni mume wa doris mtoto wa Bi sikitu.Kwa hiyo
Roy sio mume wake[emoji848]
Aligeuzwa mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajimizisha data wee, na unaweza kwa kweli lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSawa bana hayo mambo mie mgeni,,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu niache mie. KhaaahAligeuzwa mbuzi
Kumbe alipona[emoji848][emoji849]
Maisha ya digital broo dunia imebadilika sshv sasa utafanyaje sshv asilimia 70 ya ndoa za kibongo tumeshazalishana kabla ya ndoaMwanamke umeishi nae, ume mtia na mimba, huyo kupeleka church ni sawa na kuoa mke wako tu.. ndoa au mke ni Kwa ambao hawajavuka mipaka yote [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ila ndio ivyo tunaishi faster sana
Aisee..Mchungaji nae akaamua kutoa ya moyoni kuhusu swala la kufunga ndoa huku mtu akiwa mjamzito
Anadai kwamba ndoa hiyo inafungwa si ya watu wawili bali watatu, hivyo ni sawa na mtoto kafunga ndoa na wazazi wake na ni laana inatengenezwa maana mtoto kaoa au kuolewa na baba na mama yake
Ila pia wanaweza kutubu ili laana kama hiyo isimpate mtoto
Nadhani vijana walio kuwa pale kuna kitu wamejifunza kupitia kauli ile
Hivi harusi hajaigharamia Bibi harusi peke ake??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi akubali sasa, hakuna namna.
Nasubiri balaa la wasanii huko ukumbini baadae, ni full kushindanaa tyuuh.
Nataka kuona balaa la uwoya leo.
Nambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah