Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Wewe una bangi kichwani sio Bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki vile natamanigi sana hiyo scene inikute siku moja ila tu isisababishe ajali,, tena nikiwa ndani ya dude moja la uarabuni kati ya emirates au etihad siyo hutu tupanzi twetu..[emoji2296][emoji2296]
Kumbe wa undali ndani ndani huko karibia na malawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye hiyo ajali ya vijana wa jeshi nilimpoteza college mate wangu mmoja[emoji24]
Ndiyo.Once in a while...
Kwani si wanasema safari za ndani zimekuwa nafuu baada ya ujio wa mwewe wa AT...L
Hahahaaa almanusuraSikukuu zimekaribia.
Nani hapendi kula nyamanyama[emoji23][emoji23]
Hmmmm
Zurri njoo bhna boss ustadh mwenyewe cheo sitaki kutaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwamba wale wadada wa kwenye ndege wapo tofauti gani nawe?
Uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nimepaelewa zaidi hapo uliposema
wewe kusafiri kwako kote na ndege huja................
Ila wa kwetu tz mbona Ni wa kawaida tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanachukuaga wadada wazuri tu mkuu kisura na kiumbo
Hiyo tu?
Surah fatiha yote naijua .
Na nyingine zote
Mimi ndio mana nimesema sasa hivi nisiseme maana nishaahidi sana.Na uone aibu kabisaa
Mkwanja wake mrefu...Ningetaka kujipa ujiko ningesema kweli ni abroad ila ni vile tu haina maana,, Rovos huwa inakuja bongo kila mwaka mkuu na siku hiyo ilikuwa kama zali tu tumeingia kutoka mbeya tunaikuta pale tazara dar imepark ndiyo inajiandaa kuondoka huwa haikai sana hapa na ni bahati kuiona maana inakujaga bongo mara moja moja ndiyo maana nikaona nichukue tupicha twa ukumbusho maana moja ya ndoto zangu ni kuja kuipanda siku moja..
Cc Relief Mirzska
MmmhhhMimi ndio mana nimesema sasa hivi nisiseme maana nishaahidi sana.
Ila ntaku surprise sana tu siku mmoja
I feel you.