Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Namtakia miaka mingi na yenye baraka tele mtoto wa mtu🎂😘😅😅😅 HBD mtoto wa mtu
Wishes nyingine analeta Lenie
Aseme anataka zawadi gani tumpatie, hii siku ni ya muhimu sana lazima aenjoyyyyy
Namtakia miaka mingi na yenye baraka tele mtoto wa mtu🎂😘😅😅😅 HBD mtoto wa mtu
Wishes nyingine analeta Lenie
Amin🙏🙏🙏Aahhh!!hii nimepata bwanaaa!!! woiiii!!huyu mdunguaji hii Hana hiii!
Thank you na barikiwa sanaa
Thank you so much Birthday Girl!!Na kabaridi ka Leo kataamuView attachment 2291560
Mtaalamu wa mahesabu mwenyewe😍😍Na kabaridi ka Leo kataamuView attachment 2291560
Umezikosa zote mrembo?Mjep na mimi 🙈🙈🙈sijui nitawezaaa
Ngoja nimtafutie keki swetie madamLeo ni birthday ya Babygirl reymage mr Vocha!! Asante kwa kumbariki na vocha bossi wetu wa selfika! Le great kiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg Mr vocha mwenyewe!!
Alafu nimemtag kabisa🤣🤣🤣🤣🤣 mr vocha hana ubaguzi mbona amekuita sana kubwa lao!!
Happiest birthday dearNa kabaridi ka Leo kataamuView attachment 2291560
[emoji1547][emoji1547]Ngoja nimtafutie keki swetie madam
Tena mara nyingi tu !! Hana bahati na zinazowekwa humu tuAlafu nimemtag kabisa
Embu tujaribu kumfungulia ka thread jaman au unasemaje😆😆😆
Ana zurula sana,Usikute alikuwa MMU huko,kurudi selfika kakuta manyoya[emoji16]Alafu nimemtag kabisa
Kwanza hata sikuziona mapemaUmezikosa zote mrembo?
Katakuwa na uhai kweli? 😂😂Embu tujaribu kumfungulia ka thread jaman au unasemaje😆😆😆
Na haka kabaridi tena
Yaani baridi haswaa [emoji3589][emoji108]Na kabaridi ka Leo kataamuView attachment 2291560
Mtoto wa mtu hatukutag ng’odooNamtakia miaka mingi na yenye baraka tele mtoto wa mtu🎂😘
Aseme anataka zawadi gani tumpatie, hii siku ni ya muhimu sana lazima aenjoyyyyy
Madam leo naona umeshika usukani wa Saint Anne 🤣🤣🤣Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh!!!! reymage mamaa 💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸 thats our big boss mwingine Hakunaaaaaaaaaaa👌👌👌👌👌👌👌👌
Hurrrrrayyyyy kwa mr Vocha Hurrrrrayyyyy 💃💃
Weeeeehh Mr vocha Anne simfikii hata robo weeeeeeeehhh!! Just happy na weekend mieee💃💃💃💃!!🤸🤸Madam leo naona umeshika usukani wa Saint Anne 🤣🤣🤣