Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,703
Vishawishi hivo😆😆😆Selfika kwanza sasa kabla hujaja pm
Vishawishi hivo😆😆😆Selfika kwanza sasa kabla hujaja pm
Selfika banaaaa, kidogo tu unafuta 🥰😋Vishawishi hivo😆😆😆
Tutampeleka Gran Melia, chai na kitumbua kimoja efu 60 🤣🤣🤣😂Atakubali kweli au atataka mambo ya Hyatt tena😆😆😆
Ila haka kabaridi lazma jambo lifanyike
Hahahahah sawa ngoja ntazame gallery kwanzaSelfika banaaaa, kidogo tu unafuta 🥰😋
🤣🤣😂 mweupe huyo lakiniAiseeee mbona hukunambia mapema nizame piemu mwenywe na baridi yote hii
Niko hapa nasubiriHahahahah sawa ngoja ntazame gallery kwanza
Sasa na haka kabaridi lazma anywe na kauji si ndo itakua laki na selasini😆😆😆Tutampeleka Gran Melia, chai na kitumbua kimoja efu 60 🤣🤣🤣😂
Sawa jirani, karibu..Ntakuja kwenu jirani...
We dogo sasa unataka kuharibuDarlin anataka full dark tall and handsome, pia awe na Toyota
Sasa we una Nissan na pia sio full dark 🤣🤣
Aaahh ashanikosa jaman😆😆sa itakuaje na hii baridi🤣🤣😂 mweupe huyo lakini
Akipewa na warm water laki 2 kasoro efu5 🤣Sasa na haka kabaridi lazma anywe na kauji si ndo itakua laki na selasini😆😆😆
Siwezi kuizamisha piemu direct😆Niko hapa nasubiri
Aaahh kama una Nissan nambie nizame piemu mwnywe mambo yangu hayo kabisaWe dogo sasa unataka kuharibu
Aliyekwambia mimi white naniiii
Mimi nina ka weusi flani amazing mwambie madam basii😜
Nissan nishaachana nayo sasa niko na Aud mwambie aachane na matoyota hayana issue😜
😂 😂 😂Aaahh kama una Nissan nambie nizame piemu mwnywe mambo yangu hayo kabisa
Toyota waachie wabunge bana
😂😂😂 unataka nikudiskraibu nimalize ? Ili aelewe?We dogo sasa unataka kuharibu
Aliyekwambia mimi white naniiii
Mimi nina ka weusi flani amazing mwambie madam basii😜
Nissan nishaachana nayo sasa niko na Aud mwambie aachane na matoyota hayana issue😜
Akiekewa kwnye kikombe cha plastic akiweka kwnye cha glass sitak kusema maana😆😆tutatafutanaAkipewa na warm water laki 2 kasoro efu5 🤣
Yaani wahi pm madam yaani ukizama pm iko waaaaziiii haina hata mlango unaingia tuu hadi chumbanii😅Aiseeee mbona hukunambia mapema nizame piemu mwenywe na baridi yote hii
😂😂😂😂😂 tena ni latest registrationAaahh kama una Nissan nambie nizame piemu mwnywe mambo yangu hayo kabisa
Toyota waachie wabunge bana