Selfika na JF: Snap it. Show it

Chaliifrancisco ushindwe we mwenyewe


Huyo chalii alikataa kunifundisha misamiati yao, ningekuwa nishaiva sahivi
Kuna huyo nilimpataga, khaaaah niliona mwisho utakua mbayaa, yaan alikua ananitoa ktk asili ya kwetu kabisaa, nkawa naelekea chugani, sasa na hii sauti ndo nikiweka lafudhi na neno la bangerz,

Full vichekesho,
.

Sema tyuuh wanapenda kweli, afu wako real, hadi nlkua najistukia mwenyewe sasa,
uzungu mwingi afu Bongo.
 
Acha kuwaogopesha wenzako basi. Sema hapo kwenye kuwa real ni real. Umebonga kitu ambacho.
 
Ndo sa ushanpata pacha wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…