Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,776
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Tunawachoma[emoji28]
Na nilivyo bakhiri hata kununua siwezagi, nshazoea kwetu bwereree tena bureee. Afu huku ninunue woiiiiiih.Eti jmn mhindi 800,khaaa
Mi nanunua kipande Cha mia 3, na 2 imeisha hiyoooo[emoji1787]
Wanakuwaga wakuda sana. Mafuta ya kijiko.Aaah we hivi unajua wakaka wanaoendesha Subaru Forester lkn[emoji3526][emoji3526]
Wewe tukunyema tulia πTunawachomaπ
Mbezi Kuna vipande vya mia 2,3 ...mzima 800Hapa nilipo 800 mwenyeji. Kipande 400.
Kupendeza mhimu bwanaKwann umependeza hvyo unajua kbsa mm Nina ugonjwa na wanawake wanaopendeza
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mhhh mwanamke anayekimbia hapana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Ahhhh we pumzi me ninayo bn kila siku asubui nafanya mazoez ya kukimbia kwa hyo jipange
Didi maana yake nn? Juzi nimeitwa βaunt didi, na wewe tena π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo haikwepeki didiii, wengi wao wanapenda magari, ila sio wote.
Uchawi wa Mzunguuu noumaaah.
Depal ndo nani tena huyuHata Melo ni mrefu mwembamba mweusi
Nyieeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Darlin
Mbona sijaona [emoji34][emoji34][emoji34]Nishaku pm
π π π kuanzia lini nikawa obesityWewe tukunyema tulia π
Ila Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Melo ni mrefu mwembamba mweusi
Nyieeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Darlin
[emoji1787][emoji1787][emoji2960]Eeeh ni hatari sana achana na hivi vimwanaume vifupi
Maxence MeloDepal ndo nani tena huyu
Melo?
Aah basi ngoja nikatafute mkimbiaje mwenzangu maan ww nishaona toka mwanzo hatutawezana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhhh mwanamke anayekimbia hapana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
πππ€£π€£π€£Ila Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti sasa mweeeeeh, hebu niwe mpolee nisije pigwa ban.
The last time nimekuona ulikuwa nginjanginja frangenge labda kama saivi hauna matunzo kitambi kimepungua.π π π kuanzia lini nikawa obesity
Kumbeeee melo huyuIla Melo mzuriii, kuna picha yake aliweka tsup dp, wee nkaiweka kwangu Tsup, kuna shogaa angu akaniulizaa "shoga huyu kijana umemuibua wapi? " nyie nilicheka mbavu cnaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sauti sasa mweeeeeh, hebu niwe mpolee nisije pigwa ban.
Hakuna kitu ka hicho ban na ww..... We mwenyewe unawaaminiaWanakuwaga wakuda sana. Mafuta ya kijiko.
Mmh mzuriMaxence Melo
Jf founder
[emoji1787][emoji85][emoji85]