Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawa ndy wazazi wako? Hongera zao Kwa kukuza mtoto mkali
Ndio hao ndo Wazazi wangu.... Asante sana mim ni binti mwenye heshima nampemda Mungu.... Ila aunt anaogopa kuniozesha anataka ahakikishe kama mfuko unaruhusu anataka niishi maisha mazuri..... Tuma vocha kwa watu watano tu kwanza humu ukiweza hilo zoezi litakuja lingine
 
Angalia wa hovyo wasije kukufanya ukakuwa mama K [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena natamani niwe na JR, baba tamuuu sijampata badoo hebu nitafutie didii akee,
Au hutaki kuwa mam mkubwaa wee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…