Selfika na JF: Snap it. Show it

Wababa wanaofanya kazi hapa ni Malaya mbwaaaa, kuna wenzao wengine wako site ya Muhukuru. Hapa sio Kitai kweli??
Asikuambie mtu hawa watu hawafai,,,,nasikia wanakichafua balaa huko rwanda kwa wauza migahawa,

Hii picha sielewi ni wapi,,makaa ya mawe kama unatoka songea pale kitai upande wa kulia

Kama unatokea mbinga ni upande wa kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…