Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! ulisahau Don't eat in the laboratory 🤣😂😂😂🤣🤣!!
Wewee hatareeee😂🤭
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! ulisahau Don't eat in the laboratory [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]!!
Wewee hatareeee[emoji23][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa nilikoma, ulimi unawaka utasema kaa la moto limewekwa juu ya ulimi, bas mda ote nautoa nje afu nafanya km kupuliza upate baridi, nikirudisha ndani tyuuh wee hadi nataman kuunyofoa kabisaa.

Sasa nikawa nawaza sio utumbo ndani unakatika, nkawa najisemea km kufa bas nife ila sisemi km nililamba kitu labs, nashukuruu baada ya mda ulimi ulitulia,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uongo wewe[emoji28]
 
usiniambie!! uwii na nimebeba sweta moja tu for emergency
Wewe najua mzoefu wa baridi maana ile ya Tukuyu ni kali zaidi ni tahadhali tu nilikupa nkamu, maana hali ya hewa ya Atown ni ya kubadilika badilika na msimu huu ni wa baridi hasa uko porini
 
Aah kuna ile practical ya classofication sir analeta specimen za maembe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] after practiacal tunayala [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huko bios ndo ilikua vurugu match, aliletwa Mdede, (Panzi) sijui ndo yeye, mbna nilimuua kabla ya experiment,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan namminyaa hadi akatoa utumbo nje.

Ticha acha afoke, mie kimyaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaa...pole shoss ulizidi utundu Nawewe 😂😂🤣!
 
Hahahahaaaa...pole shoss ulizidi utundu Nawewe [emoji23][emoji23][emoji1787]!
Wallah nikikumbuka huwa nasema, km zile kemikali bas hazina madhara, vinginevyo ningedhurika vibayaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…