Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anha halafu ukija hapa unaanza kunisumbua mimi nikutumie picha zilizofutwa kumbe unafanya makusudi eenh
Sema nyuzi zenyewe nyingi hazivutiiYaani kule kumepoa daah watu wamebaki kuanzisha nyuzi za matunda tu kama kawaida yao
Nimezeeka.Aah wapi I know n you know it Saint anne you are one of the beautiful ladies here.. That's natural beauty I mean
HahahaaaMnaandamana Hadi kwa mkuu wa shule[emoji23][emoji23][emoji23]..
Watoto mliopelekwa pale Haki akili zenu zilikuwa zinafanana[emoji1787]
Nishaipanda Mara mbili
Sema nilikuwa nafika siku zote usiku kule mbeya. Kwaiyo maeneo ya rail station sijayashika vizuri. Ndomana niliuliza.
Hahahaaa acha uwoga wa kuikwepa kitonga
Siamini Hadi muda huu hujaweka picha.Tupieni selfie mmetoka kuamka basi tuone vipande hivyo
Jana majinja imepindua watu kitonga
Usijali kabisaa!
Jipange tuu uniambie
[emoji8][emoji7][emoji3059]Welcome [emoji7]
Niambie jamani
Hahahaha, mbn nimekuwekea ina maana hujaiona ? basi nitakua nimekutumia PMSiamini Hadi muda huu hujaweka picha.
Ujue naisubiri tangu Jana.
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Hahahaaa
Shule ilkuwa inautemi mwingi sana
Form five napiga ngumi unakwepa unataka nipige ukuta? Form five?
Form five nani kakuruhusu utumie vyoo vya kufurashi.?
Form five wasichana wenu wote hawa ni wetu ole wako tukukute umesimama na form five mwenzio wa kike.
Hahaa nilisemaga Mwanangu hawezi soma mashule haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Muda wangu humu umeisha.
Nimezeeka
Good morning sir
Tangu Jana unanichomesha mahindi hapa.Hahahaha, mbn nimekuwekea ina maana hujaiona ? basi nitakua nimekutumia PM
Treni ya Tazara hii au ,hili dude nilipanda Kapiri mposhi to makambakoItakuwa ulipanda ile ya kwetu ordinary maana express ya wazambia huwa inapita mbeya jioni kabla jua halijazama,, mimi kuna baadhi ya vituo nimevishika hasa vya morogoro..
Hahahaha sikimbii kitonga ila mie huwa napenda safari za kukaa muda mrefu njiani
Nataka nipumzike mdogo wangu.Ahahahahah nacheka kimafia mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile siku niliamua kuingia humu ndiyo Maana.
Nikiamua kukaa humu nakaa na nnashawishi watu watume picha na wanatuma.
Nikiamua kupumzika napumzika kweli.
Ngoja nijipe likizo angalau hata wiki
Hahahaha, hivi Mimi au wewe mmoja wetu nadhani kafunga PMTangu Jana unanichomesha mahindi hapa.
Fanya unitumie pm boss wangu.