Selfika na JF: Snap it. Show it

mawardat

Twende town tukazurureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu tunaenda kupumzika majengo mnadani kuleee.
Coca jumapili kwenye kipindi cha BIG SUNDAY LIVE cha wasafi TV hivi Yule ambaye alikuwa anakatika Sana mbele ya gigy money binti Fulani hivi mweupe tall hivi ni km wewe[emoji3][emoji3]..Niliuliza nikaambiwa hawa ni watoto wa UD
 
Nasikia kuna nyingine inaitwa jilegeze kama umefiwa na Bibi Yako [emoji23]aunt Watu wasiri mno hawasemi tukiachwa wanatusimanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi utafia kifuani kwa ankoli, usijisumbue kabisaaa, relaaaaax.
 
Lenie nakusalimia

Kuna ujumbe wangu wowote uliupata kutoka kwa Depal ?
 
Coca jumapili kwenye kipindi cha BIG SUNDAY LIVE cha wasafi TV hivi Yule ambaye alikuwa anakatika Sana mbele ya gigy money binti Fulani hivi mweupe tall hivi ni km wewe[emoji3][emoji3]..Niliuliza nikaambiwa hawa ni watoto wa UD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaa, sio mie.
Nimecheka mnooo, ko nawee huwa unatazama Big Sunday live?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…