Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kada ya hovyoo kwenye Elimu.
Ahsanteee sana kwa kunifungulia ufahamu.

Ubarikiwe mnooooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimecheka, kesho namshushua mbna, asinitanie kabisaaa. Alivyokua ananirusha roho na hii Sensa, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie ajiandae kisaikolojia asijishaue sana,

Vigezo na masharti kuzingatiwa[emoji16]
 
Zaburi 4:8
[8]Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara,
Maana Wewe, BWANA, peke yako,
Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
I will both lay me down in peace, and sleep: for thou, LORD, only makest me dwell in safety.[emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…