andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,081 cocastic said: Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous. Click to expand... Kumbe ni mwenyeji huku?
cocastic said: Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous. Click to expand... Kumbe ni mwenyeji huku?
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,082 cocastic said: Hospital ya mkoa au wilaya? Click to expand... Dahh
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,083 cocastic said: Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous. Click to expand... Zipo sido eeh, Najua anapapasa tu Ni vile hajawahi hata kunifananisha,,,ingekuwa mbinga kidogo angepatia lkn sio maana sio maana sitokagi bila sababu.
cocastic said: Ruhuwiko? Sio unasemea national milling, ndo kuna ofisi na yard ya Super feo/selous. Click to expand... Zipo sido eeh, Najua anapapasa tu Ni vile hajawahi hata kunifananisha,,,ingekuwa mbinga kidogo angepatia lkn sio maana sio maana sitokagi bila sababu.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,084 andjul said: Kumbe ni mwenyeji huku? Click to expand... Tena mwenyeji haswaaa, Songea yote naijua. Chocho zote nazimanyaaa.
andjul said: Kumbe ni mwenyeji huku? Click to expand... Tena mwenyeji haswaaa, Songea yote naijua. Chocho zote nazimanyaaa.
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,085 andjul said: Dahh Click to expand... Ulidhani nini?? Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,086 Anko mawardat embu rudi na vinywele vyako laini
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,087 cocastic said: kna some1 alikua analeteaga skuli, akija kunitembeleaa. Click to expand... ,watoto wa watu hawa jamani
cocastic said: kna some1 alikua analeteaga skuli, akija kunitembeleaa. Click to expand... ,watoto wa watu hawa jamani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,088 mawardat said: Zipo sido eeh, Najua anapapasa tu Ni vile hajawahi hata kunifananisha,,,ingekuwa mbinga kidogo angepatia lkn sio maana sio maana sitokagi bila sababu. Click to expand... Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee Ruhuwiko vumbi tena jekundu utadhan wamechimbua vufusi, km sio town bhana.
mawardat said: Zipo sido eeh, Najua anapapasa tu Ni vile hajawahi hata kunifananisha,,,ingekuwa mbinga kidogo angepatia lkn sio maana sio maana sitokagi bila sababu. Click to expand... Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee Ruhuwiko vumbi tena jekundu utadhan wamechimbua vufusi, km sio town bhana.
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,089 mawardat said: Ulidhani nini?? Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo Click to expand... Sina pa kujificha kwake. Picha yako ilikuwa na uasili wa Mtwara, niliifananisha. Hata ya leo nimeifananisha pia
mawardat said: Ulidhani nini?? Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo Click to expand... Sina pa kujificha kwake. Picha yako ilikuwa na uasili wa Mtwara, niliifananisha. Hata ya leo nimeifananisha pia
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,090 mawardat said: Unataka uzikate?View attachment 2289419 Click to expand... Una unywelee dada, umekuzaaa.
mawardat said: Unataka uzikate?View attachment 2289419 Click to expand... Una unywelee dada, umekuzaaa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,091 mawardat said: ,watoto wa watu hawa jamani Click to expand... hatareeeeeeh.
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,092 mawardat said: Unataka uzikate?View attachment 2289419 Click to expand... Naam... Nywele za singa hizo Kutokulala mapema kuna raha yake Wallah
mawardat said: Unataka uzikate?View attachment 2289419 Click to expand... Naam... Nywele za singa hizo Kutokulala mapema kuna raha yake Wallah
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,093 mawardat said: Ulidhani nini?? Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo Click to expand... Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji.
mawardat said: Ulidhani nini?? Mwenyeji yupo,endelea kutaja maeneo Click to expand... Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji.
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,094 cocastic said: Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee Ruhuwiko vumbi tena jekundu utadhan wamechimbua vufusi, km sio town bhana. Click to expand... kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya.
cocastic said: Huyu anasemea Pale Ruhuwiko national milling, kule Yard anakopaki magari mabovu, na yaliyotumika sanaa, pia kuna yale ya mizigo ndo anaya park kulee Ruhuwiko vumbi tena jekundu utadhan wamechimbua vufusi, km sio town bhana. Click to expand... kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya.
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,032 Reaction score 120,518 Jul 14, 2022 #237,095 mawardat said: kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya. Click to expand... Lini utaenda Mbeya tena?
mawardat said: kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya. Click to expand... Lini utaenda Mbeya tena?
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,096 cocastic said: Una unywelee dada, umekuzaaa. Click to expand... Zinanusurika mkasi kila leo
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,097 andjul said: Naam... Nywele za singa hizo Kutokulala mapema kuna raha yake Wallah Click to expand... Usilale,mwenzio naogopa hapa Usione nashangaa hapa,naogopa. Kufumba macho
andjul said: Naam... Nywele za singa hizo Kutokulala mapema kuna raha yake Wallah Click to expand... Usilale,mwenzio naogopa hapa Usione nashangaa hapa,naogopa. Kufumba macho
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,098 cocastic said: Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji. Click to expand... Kweli kama Mbinga tu, Bora ya songea mlongo,mbinga upawezi
cocastic said: Songea hata sio kubwaa, ukitembea KM chache ushamaliza mji. Click to expand... Kweli kama Mbinga tu, Bora ya songea mlongo,mbinga upawezi
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,128 Reaction score 137,481 Jul 14, 2022 #237,099 andjul said: Lini utaenda Mbeya tena? Click to expand... Unataka unipe lifti?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,219 Reaction score 181,358 Jul 14, 2022 #237,100 mawardat said: kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya. Click to expand... yeaaaah ndo hapo hapo, hata kipindi gari wanakataza kushusha pale stand mjini, abiria wa Mbinga na nyasa, waliokuaa wanatoka Dar, walikua wanaenda kusubirishwa kule Ruhuwiko ili wapande bus la mbinga.
mawardat said: kumbe,yaani. Hapa nilishapotezaga kumbukumbu Tuliwahigi kushuka pale tulikaa sana, tulikuwa tunasubiri tubadilishiwe gari/super feo. Nilikuwa natoka mbeya. Click to expand... yeaaaah ndo hapo hapo, hata kipindi gari wanakataza kushusha pale stand mjini, abiria wa Mbinga na nyasa, waliokuaa wanatoka Dar, walikua wanaenda kusubirishwa kule Ruhuwiko ili wapande bus la mbinga.