Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maisha hayawez kuwa matamu bila uwepo wa Mjep embu mpe nafasi awe tulizo la moyo wako

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa!! Huyo nitamuwezea wapi mie acha nipambane tunahali yangu kubwa lao!!
sio Huyo tu hata yeyote Jf Sitaki sitiresi za rejareja kabisa!!
Kwanza nipo huru sana najiachia nitakavyooo.. habari za kulimitiwa humu hapanaaaaa...
Pia nishazoea kucheka kufurahi na kuchati nao kama wote sasa habari za kuanza kuliana buyu aaaahhh hapana acha huu urafiki mzuri uendelee kuwepo milele na milele
 
Kwan yule wa jf alikuwa anakulimit sana shem jaman

Back
Top Bottom