CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Amen [emoji23]
Amen [emoji23]
😭😭😭😭😭😭Hapana mr Vocha mie jimbo liko closed 😉! Hata lingekua wazi nishasemaga Humu hekaheka zenu siwawezi kabisa mie !! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Saint AnneWengi tu mvona Singo but occupied [emoji6]
Na wengine married but singo!![emoji2955]
wengine Singo but married
Yani Tafrani tupu!![emoji6]!
Wacha tuendelee kuselfika sie!!
Tulia wewe[emoji2]Neno toxic
Limekufanya ukomenti
Punguza makasiriko upae mbinguni
Marahaba mama junia
AsanteMarahaba mama junia
Karibu tuselfike
Huyu Junia ndo kaanza utundu mapema hivi😅😅😅😅 mwambie uncle atamchapa
Mkubalie tu uncle wangu yani utafurai, utaenjo..... Good morning ccy AntonniaHapana mr Vocha mie jimbo liko closed [emoji6]! Hata lingekua wazi nishasemaga Humu hekaheka zenu siwawezi kabisa mie !! [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huyo mke wa wazirAfadhali na mshenga nimepata
Ila mshenga uliniahidi nisubiri dada aachike
Ndo huyu mkuu?
Huyo complicated yaniBoss lady na wewe jimbo liko wazi nitume mshenga??
Mshenga tayari nishampata brother Carrasco putin
Ww danganya tu ukose fursaHapana mr Vocha mie jimbo liko closed [emoji6]! Hata lingekua wazi nishasemaga Humu hekaheka zenu siwawezi kabisa mie !! [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio ashaipasua..tukawa tunamwambia aache,akajitupa chini.Huyu Junia ndo kaanza utundu mapema hivi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mwambie uncle atamchapa
Nikose tu kwa Amani kabisa kubwa lao!!!! Sitakiiiiii!!
Utak kubembelezwaNikose tu kwa Amani kabisa kubwa lao!!!! Sitakiiiiii!!
Ndio Sitaki kubwa lao!! Acha wawabembeleze wengine tu mie hapana!