Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Kwann unaogopa Kwan ushawahi kuwa na mpenzi jfNdio Sitaki kubwa lao!! Acha wawabembeleze wengine tu mie hapana!
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwann unaogopa Kwan ushawahi kuwa na mpenzi jfNdio Sitaki kubwa lao!! Acha wawabembeleze wengine tu mie hapana!
Ahsante kwa kunisaidia kumshawishi madam rafiki yangu Lovelovie 😘Mkubalie tu uncle wangu yani utafurai, utaenjo..... Good morning ccy Antonnia
🤣🤣🤣🤣!!Bila shaka Anne ashakupa mwongozo!@Saint Anne
Ni singo ipi![]()
Leo tu umeanza wivu angalia tusije kosa mke mapema tafadhali zuia hisia zako
Antonnia kama antonnia hapana!🤨
Mpende boss asiye na makuu Mjep bana anajua kupenda kuliko kusalitiAntonnia kama antonnia hapana!![]()
Madam akichomoa hapa kweli atakua hana bahati🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpende boss asiye na makuu Mjep bana anajua kupenda kuliko kusaliti
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Court roomHalmashauri ya kichwa changu ina mashauri.View attachment 2288743
Yessir.
Aki wivu unataka kuniponza mapema hivi 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Leo tu umeanza wivu angalia tusije kosa mke mapema tafadhali zuia hisia zako
Huyo si anasubiria dada yako lakini umesahau kubwa lao??? Atamfaaa sana dadako acha dada amfaudu Mjep asie na makuu kama ulivosema! Mie moyo na mwili vishakufa ganzii kabisa sina hisia kabisa mwenzenu!!Mpende boss asiye na makuu Mjep bana anajua kupenda kuliko kusaliti
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hvyo vidole tu mnaonyesha unafaa kuwa wife material wa Mjep!!! Mr vocha mbavu zangu hukuu
!!Nipo maabara Nacheka hadi wanafunzi wananishangaa mjue!! Lovelovie huyu anko wako simuweziiiiiii!!
!
Hapana nyota njema huonekana asubuh fanya jambo najua moyo wako upo kwa MjepHuyo si anasubiria dada yako lakini umesahau kubwa lao??? Atamfaaa sana dadako acha dada amfaudu Mjep asie na makuu kama ulivosema! Mie moyo na mwili vishakufa ganzii kabisa sina hisia kabisa mwenzenu!!
weee kubwa lao usinitafutie mabalaa humu!! Tena huyo ndio kabisaaa namuogopa kama ukoma!!! 🙌!!Hapana nyota njema huonekana asubuh fanya jambo najua moyo wako upo kwa Mjep
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app