Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Basi nyie ni wazembeweee sisi mkikopiana assignment profesa anawaita wote ofisini then anauliza nan mmiliki halali wa hio assignment mkimtaja anajaziwa nusu wengine 0
![]()

,, lipia sh 17500 nikufundishe njia ya kukopi assignment, ambayo hata mashine ya plagiarism haiwezi detect anything 
Nkamu kwani umeongeza tena kilo siyo zile 78?kilichobaki niende Turkey sasa yaan kupambana na madiet yote yale halafu nazidi kunenepa

Watasaidia sana kama wakianza kupeleka injili kwenye ule uzi wa kimasihara.....Hahahaaa... kabisa mkuu Humu wamejaa nkamus na mlongos!!!
@Lovelovie unaniamkia unataka uninyime nn ww binti lknKaka Putin Shikamoo



kilichobaki niende Turkey sasa yaan kupambana na madiet yote yale halafu nazidi kunenepaWaaapi bwana wewe! Kama hiyo ni ndege ya chini sisi wenye mabenzi tusemeje sasa!😁😎Speed iko vizuri sana ndege ya chini hiyo.
Weee kule Watatolewaje baruuu!! !!Watasaidia sana kama wakianza kupeleka injili kwenye ule uzi wa kimasihara.....
Jukwaaa linaelekea kuangamia hili.....
Maisha bila kitambi yafaa Nini?QUOTE="Simara, post: 43156647, member: 250614"]
kilichobaki niende Turkey sasa yaan kupambana na madiet yote yale halafu nazidi kunenepa


Kidumu kipo 😀😀



🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maisha bila kitambi yafaa Nini?
Mimi nipo nakikusanya tu kitambi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ngoja nimalize nitarud sexy LadyEnjoy your time na muwe na Usiku mwema wapendwa!!
Hatimaye umelipika… hapo ushaunga au?Boss Mjep karibu nyie wengine mtakula mlipopeleka vochaView attachment 2288249
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ni mimi tu sikioni kitambi?Enjoy your time na muwe na Usiku mwema wapendwa!!
Enjoy your meal rafikiBoss Mjep karibu nyie wengine mtakula mlipopeleka vochaView attachment 2288249
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mimi mzima kabisa namshukuru MUNGUMzima?? za siku tele
Eti mtu unakaa hauna kitambi!kwani wewe ni nyoka?

Kidumu muhimu haaa haa.Kidumu kipo 😀😀
Nimemiss makande!! Kesho nayapika asee 😋😋😋😋😋!! Hata Tinsley humkaribishi kubwa lao??Boss Mjep karibu nyie wengine mtakula mlipopeleka vochaView attachment 2288249
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app