MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Wewe nawe ni mnyakyusa ?Umenenepa sana nkamu akee!!
Lipss👌👌👌👌👌👌👌
Wewe nawe ni mnyakyusa ?Umenenepa sana nkamu akee!!
Lipss👌👌👌👌👌👌👌
Mambo poa tu vipi mzima wewe mkuuMambo mkuu
Hapana mkuu nimewaitia wanyaki tu!Wewe nawe ni mnyakyusa ?
Itasikitisha sana kama SUBARU yako itakuwa inalia BOOOO BOOOO kama zile nyingine za wahuni.
😅😅😅😅 weee sisi mkikopiana assignment profesa anawaita wote ofisini then anauliza nan mmiliki halali wa hio assignment mkimtaja anajaziwa nusu wengine 0🥺🥺Si nitabalaswa,, ukiangalia bosi ni mnoko[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2288225
Za masiku njema/salama kabisa mkuuPoa Eli za masiku??!!
🤣🤣🤣Itasikitisha sana kama SUBARU yako itakuwa inalia BOOOO BOOOO kama zile nyingine za wahuni.
Hahaha..sina hata mpya mkuu!!Za masiku njema/salama kabisa mkuu
Fanya wepesi bhasi nione hata nywele tu
Sio yangu nagongea mkuu .Itasikitisha sana kama SUBARU yako itakuwa inalia BOOOO BOOOO kama zile nyingine za wahuni.
SawA ccy ntatupia usijaliFresh sisy akee!![emoji3059][emoji8] Vipi utatupia dadaa asilale asubirie mi baraka??
Anhaaa sawa, maana naona kila mtu humu ndani ni mnyakyusa.Hapana mkuu nimewaitia wanyaki tu!
Me mzima kabisa sijui wwMambo poa tu vipi mzima wewe mkuu
Kaka Putin Shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahahaaa... kabisa mkuu Humu wamejaa nkamus na mlongos!!!Anhaaa sawa, maana naona kila mtu humu ndani ni mnyakyusa.
Nadhani wafungue kanisa sasa........
Basi lazima inalia BOOOOO halafu spidi kama Kobe.....Sio yangu nagongea mkuu .
Poapoa mdogo wangu Ngoja nivumilie nibarikiwe mie!SawA ccy ntatupia usijali
Umenenepa sana nkamu akee!!
Lipss[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Speed iko vizuri sana ndege ya chini hiyo.Basi lazima inalia BOOOOO halafu spidi kama Kobe.....