Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

QUOTE="Simara, post: 43156647, member: 250614"]
kilichobaki niende Turkey sasa yaan kupambana na madiet yote yale halafu nazidi kunenepa
Akili tu imetulia mamy!! Saivi umefika kilo ngapi??
Mie mwili naendelea kupungua ila tumbo sasa ndio limedinda kabisaaaa kupungua!![/QUOTE]

sijapima kipenzi
Nashukuru tumbo huwa sina hilo limeniepuka
fanya zoezi
 
Tupia selfii ulipo mkuu!!
IMG_20220712_213423_210.jpg

Karibu sisiter, ndo naanza hivyo.
 
Back
Top Bottom