yaan hapa cna mbavu, watu wana reply nashindwa hata niijibu ipi,
Kuna m1 kanichekesha, eti "kumekuchaaa hayawi hayawi, sasa yamekua, Kwan mapenzi yana siri, tena aongeze ili tumjue na sie khaa,tumechoka kuwa na tetesi na duku duku"
Kesho chuo nitakua gumzo,naon class itakua kunijadili mie tyuh.
Ila mie nna heka heka.