Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitakua narusha vocha ya buku kila siku hapa baada ya siku 10 nitakua nimemaliza hilo deniπŸ˜…πŸ˜…
Vochazenyew Leo nimeona tangu unatype ikaja tigo naiweka imetumika🀣🀣 dakika haijafika
Hii nchi ya selfika nitahama aiseeπŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi nambia wee jifanyee eti ooh unafiki siwezi, mara msema kweli, itakuja mdomo uwe kisogoni, utapata akili.
Naogopaga mnoooo.
Mwenyewe siwezagi aisee,nilimchanaga mdada was watu,nikikumbuka[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ofisi 1 ya umma pale posta, na rafiki angu, kwenye lift, hadi aibu, jinsi nilivyo dhalilika. Nlipiga kelele lift ilizima umeme ulikatika ghafla, sasa kuna km ki hali fulan cha harufu ya kuungua nikawq nasikia, nkajua shott wee acha nipige ukunga wa nguvu,

Yaan sitasahau kuna yule dada acha anichambee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣nimecheka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka
Yule dada alijua kunisuuza, yaan alinichambaa, akauliza unasoma mie ndyo wapi nkataja, mwaka wa ngapi ndo ilikua 1St yr, kaniuliza unatokea mkoa gan nkataja, woiiiiiiii nlifungulia kapu la kichambo.

Na alinioshaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah.
Kuna mmoja alijivesha suruali raia wakawa wanamsifia[emoji23],,nikamuita nikamuuliza nani kakuambia ukivaa hivyo unapendeza??

Nikamwambia mie nakuambia ukweli mdogo wangu,achana na masruali hayakupendezi na hayo matako kama dereva wa masafa marefu,

Dogo alinielewa,tokea siku hiyo kakitaka kutoka kananifuata kuniuliza,hapa vipi dada?
 
Kama nakuona ulivyokuwa umepoa 🀣🀣
 
Hahah
 
Yule dada alijua kunisuuza, yaan alinichambaa, akauliza unasoma mie ndyo wapi nkataja, mwaka wa ngapi ndo ilikua 1St yr, kaniuliza unatokea mkoa gan nkataja, woiiiiiiii nlifungulia kapu la kichambo.

Na alinioshaaaaa,
Ningekuwa ningeangusha kilio na kwenye kichambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hapa ulicheza km pele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…