Nina HESHIMA kubwa sana kwenye huu Uzi.. Umepunguza pakubwa mno kejeli kwa dada na mama zetu hapa jukwaani.. Lakini pia tumeshuhudia visu, nyembe na mundu...
ngoja tufanye hivi muulize form one alisoma tusiime mwaka 2012?? Jibu likiwa yes basi ni yeye ila kama ni no basi siyo yeye!! Na jibu likiwa yes nitamtajia jina la mdogo wangu nijue kama anamkumbuka..