Hii ni mojawapo ya mada zilizojaa ukakasi kuhusiana na maisha yetu ya mafanikio na dhana dhanifu mzima ya kupata. Uhalisia ama ukweli kwa muktadha wa heading hauwezi kufika asilimia 50 lakini kuna watu huchukulia kuwa ndo ukweli wote. Kundi baya lenye ushawishi kwenye hili jambo ni hawa...