Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,545
- 18,245
Weka maungio hapo kati namba ziweze kuhamaEbu fanya kuniwezesha basi
Hebu nizione, mama yangu alikuwaga na kamoja nilikuwa nakapendaaa[emoji28]Mimi ninazo mbili yaani nazichukia japo rafiki zangu wanazipenda[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Upo kama mimi nimeona zipo nyingi
Auntie ebu acha kunijaza basiInaendana na mwili vizuri kabisa.
Kati wapi ukoWeka maungio hapo kati namba ziweze kuhama
Za utajiriMimi ninazo mbili yaani nazichukia japo rafiki zangu wanazipenda[emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁😁Sijui zimeotaje sielewi, watu wananambia ukizinyoa zinajaa naogopaHebu nizione, mama yangu slikuwaga na kamoja nilikuwa nakapendaaa[emoji28]
Kwa sababu wanafuta
Uwongo maneno ya walimwengu 😁😁😁Za utajiri
Asante sana [emoji3]Una shingo nzuri.
Yaani tuwili tu unataka unyoe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijui zimeotaje sielewi, watu wananambia ukizinyoa zinajaa naogopa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anigawie nini auntie
Una shingo nzuri.
Tatizo sizipendi mnooYaani tuwili tu unataka unyoe[emoji134][emoji134][emoji134]
Mimi ukiona nimetupia picha yangu humu sio akili yangu inakuwa nguvu ya heineken ujue
Mkwe unaongea na nani?Hahahaaa...
Mengine mazuri mtasema mkionana piemu huko..[emoji41]